Msanii wa BongoFleva Rich Mavoko
"Kwa Mganga tulienda kwa sababu zile zilikuwa mbinu za njia za kupita ili kuweza kufanikiwa, usitegemee kutuona tena kwa waganga ila tegemeeni kuona muunganiko mzuri kwetu na kumuona Rich Mavoko anakwenda sehemu nzuri, mambo mengine yote yamepita na tumeweza kusuluhisha" amesema Meneja Maneno
Pia Meneja Maneno ameongeza kusema kuna muda alikuwa amepaniki hali ambayo ilipelekea kuwa na tofauti kati yao na ilipita muda wa miaka 6 bila ya kuzungumza japo walikuwa wanakutana kwenye shughuli za kisanii.
Zaidi tazama hapa chini kwenye video.









