
Msanii wa BongoFleva Lulu Diva
Akiwajibu kuhusiana na hilo kwenye ukurasa wake wa Instagram Lulu Diva amesema watu watafute pesa ili wanunue simu nzuri na waache kusema mastaa kwamba wanaji-edit sana.
"Rafiki yangu tafuta hela na ununue simu nzuri uache porojo za huyu naye anaji-edit sana" ameandika Lulu Diva
Msanii huyo kwa sasa anatamba na wimbo wake wa hauna maajabu alioutoa siku za hivi karibuni na unafanya vizuri kwenye vituo vya Radio na TV, Club na wadada wanautumia sana kujirekodi video fupi na ku-post mitandaoni.
Zaidi tazama hapa chini kwenye video