
Hamza
Kwa mujibu wa Msemaji wa familia ya , Abdulrahm Hassan, amesema kuwa awali mwili huo ulitarajiwa kuzikwa saa 7:00 mchana katika makaburi hayo, lakini ulichelewa kwa sababu ya kazi ya kutoa risasi zilizokwama kwenye mwili wake.
Hamza alizua taharuki siku ya Agosti 25, 2021, baada ya kuwauwa kwa risasi Askari wanne akiwemo mmoja wa Kampuni ya Ulinzi binafsi ya SGA maeneo ya daraja la Selander karibu na zilipo ofisi za Ubalozi wa Ufaransa wilayani Kinondoni.