Picha ya Wachezaji wa Simba Sc
Klabu hiyo imesema kuwa matukio yote ya sherehe sasa yatafanyika wakati wa wiki ya Simba inatarajia kuanza siku ya Jumatatu, September 13-19, 2021.
‘’Wekundu wa Msimazi’’ Simba wameahirisha tukio la uzinduzi rasmi wa jezi zao mpya lililokua lifanyike leo (Jumamosi) Dar es Salaam.
Picha ya Wachezaji wa Simba Sc
Klabu hiyo imesema kuwa matukio yote ya sherehe sasa yatafanyika wakati wa wiki ya Simba inatarajia kuanza siku ya Jumatatu, September 13-19, 2021.