Kamanda wa Polisi mkoa wa Kigoma, ACP James Manyama
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo katika wilaya ya Kasulu na kukamatwa kwa mganga huyo, Kamanda wa Polisi mkoa wa Kigoma ACP James Manyama, amesema baada ya kutekeleza mauaji hayo walichimba shimo la kumfukia kisha kuchukua fedha zake ambazo katika upekuzi jeshi la polisi walizikamata nyumbani kwa mganga.


