Kanisa lililoanguka
Aidha zaidi ya nyumba 150 zimeezuliwa na upepo, kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo.
Tazama hapa Video
Watu 17 wakazi wa kijiji cha Kakola kata ya Minkoto, waumini wa Kanisa la Baptist wilayani Chato wamenusurika kifo baada ya kuangukiwa na Kanisa wakiwa kwenye ibada ya Jumapili.
Kanisa lililoanguka
Aidha zaidi ya nyumba 150 zimeezuliwa na upepo, kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo.
Tazama hapa Video