
Repost ni nini?
Ni pale unapo-share tena kitu cha mtu mwingine kwenye profile yako, kama unavyofanya kwenye WhatsApp Status au Facebook Share.
Ambacho unatakiwa kufahamu kujua:
- Sasa unaweza ku-share tena (repost) Reels na picha kutoka akaunti nyingine
- Reposts zako zitaonekana kwenye sehemu mpya ya “Reposts” kwenye profile yako
- Marafiki zako wanaweza kuona ulivyo-repost kupitia sehemu ya “Friends” kwenye Reels