
TAFA 2015
Zoezi la kuwapigia kura washiriki na kazi zote za filamu zilizoingia katika kuwania tuzo hizo kwa sasa limeshika kasi sana, ambapo iwapo unataka kushiriki ni rahisi tu, unaandika code namba ya mshiriki unayempenda na kuituma kwenda namba 15522.
Orodha nzima ya washiriki hao pamoja na kazi za filamu na code namba zake, kwa sasa inapatikana katika tovuti hii ambayo ni www.eatv.tv, na vilevile unaweza kuipata kupitia ukurasa wetu wa facebook.com/eatv.tv, ama kupitia link hii https://www.eatv.tv/news/entertainment/code-za-kupigia-kura-washiriki-wo...
Piga kura mara nyingi uwezavyo kumuwezesha mshiriki unayempenda kuchukua tuzo.