Anayedaiwa kumuua mumwe anatafutwa
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamsaka mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Mgore anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 na mkazi wa lbanda, Kata ya Kirumba Wilaya ya llemera kwa tuhuma za mauaji ya mume wake aitwaye Amosi Faustine Paulo, miaka 31, dereva wa pikipiki na mkazi w