Aliyeteuliwa u-RC na Samia atenguliwa Dkt. Raphael Chegeni Rais Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Dkt. Raphael Chegeni, aliyemteua usiku wa kuamkia Julai 28, 2022, kuwa Mkuu wa mkoa wa Mara, na kumteua Meja Jenerali Suleiman Mzee kuchukua nafasi hiyo. Read more about Aliyeteuliwa u-RC na Samia atenguliwa