Uhaba wa damu hospitali ya wilaya ya Kisarawe
Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe Mkoani Pwani inakabiliwa na upungufu mkubwa wa damu salama katika Benki yake ya damu ambapo zaidi ya chupa 35 zinahitajika kwa wiki kwa ajili ya kuwahudumia akina mama wajawazito na manusura wa ajali mbalimbali wanaofika hospitalini hapo

