Mbunge ashauri Waziri atumie helikopta sio magari
Mbunge wa jimbo la Sengerema Hamis Tabasamu, ameishauri Wizara ya Maji kutenga kiasi cha shilingi bilioni 1.5 ili iweze kununua helikopta itakayotumika kwenye ukaguzi wa miradi ya maji nchini badala ya kutumia magari kwani yanachosha.