Televisheni 300 Marekani zinarusha Royal Tour
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Sanaa na Utamaduni, Dk Hassan Abbas amesema filamu ya Royal Tour itaendelea kutoka kwa awamu kwa sababu yapo maudhui mengi ambayo hayapo katika filamu inayiosambaa kwa sasa duniani.