Simba wampa mapumziko Morrison Klabu ya Simba imetangaza kumpa mapumziko ya hadi mwisho wa msimu nyota wake Bernard Morrison huku ikimshukuru na kumtakia mafanikio mema katika safari yake ya soka hapo baadae Read more about Simba wampa mapumziko Morrison