Waliofukuzwa CHADEMA waingia bungeni
Baadhi ya Wabunge wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) juzi leo Ijumaa Mei 13, 2022, wameudhuria vikao vya Bunge na kuuliza maswali isipokuwa Mhe.Halima Mdee na Mhe.Ester Bulaya.