Aliyozungumza Bobi Wine kwenye Baraza Kuu CHADEMA
Msanii na mwanasiasa wa Upinzani Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, ameutaka uongozi wa CHADEMA kuwekeza nguvu katika kukuza vijana huki akisema anaamini vijana ndio wanaojua kupambana kudai haki zao