Mkurugenzi wa Mvomero asimamishwa kazi
Waziri wa Ofisi ya Rais tawala za mikoa na serikali za mitaa Tamisemi Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro Hassani Njama Hassani kupisha uchunguzi, kutokana na kushindwa kuutekeleza maagizo ya Waziri aliyoyatoa wakati wa ziar