Washtakiwa wa Ubakaji na Uuaji Waachiwa Huru
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, imewaachia huru watt watatu waliokuwa wanakabiliwa na staka la kubaka na kumuua binti wa miaka saba aliyekuwa mkazi wa Kimara Temboni jijini Dar es Salaam.