Vijana 5000 kupewa mafunzo ya ufundi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema kuwa, katika kuhakikisha vijana wanajengewa uzoefu, serikali imedhamini vijana takribani 5000 katika mafunzo ya ufundi yatakayowawezesha kukidhi vigezo vya kuajiriwa na kupata ujuzi wa vitendo utakaowawezesha kushiriki

