Mtoto akutwa amefia kwenye kisima cha maji

Kisima

Mtoto Junior Musa Pius mwenye umri wa miaka mitatu mkazi wa mtaa wa Nyampa Kata ya Kasamwa wilayani Geita amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye kisima kilichopo karibu na makazi yao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS