Ter Stegen nje miezi 8
Mlinda mlango wa FC Barcelona Marc Andre ter Stegen atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi 8 baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti Leo jioni Septemba 23, 2024. Ter Stegen aliumia jana kwenye mchezo wa Ligi kuu Hisapania La Liga dhidi ya Villarreal mchezo ambao Barcelona iliibuka na ushindi