Simba SC yajenga timu yao Mwenyekiti wa Simba SC Murtzan Mangungu amesema licha ya kupata ushindi wa bao 3 - 1 dhidi ya Al Ahly Tripoli ya Libya lakini amekiri kuwa wapo kwenye hatua ya kujenga timu katika msimu huu wa kimashindano 2024- 2025 Read more about Simba SC yajenga timu yao