Kabla hujafanya maamuzi fanya kitu hiki kwanza
Kwenye hali ya kukabiliana na changamoto nzito kwenye maisha, inafikia kipindi inakuwa ni ngumu sana kwako kufanya maamuzi kwa hofu ya kwamba huenda maamuzi yasiwe sahihi au yakaleta matokeo ambayo hukuweza kuyatarajia.