Ten Hag alia na ugumu wa ratiba Kocha wa Manchester United Eric Ten Hag ameweka wazi kuwa huwenda kikosi chake kikakumbwa zaidi na majeraha kwa wachezaji wake kutokana na ratiba ya michezo inayowakabili mbele yao kama ilivyokuwa msimu uliopita. Read more about Ten Hag alia na ugumu wa ratiba