Tunataka huduma bora baada ya wiki ya huduma

Geoge Mugale, mkazi wa Dar es Salaam

Wananchi mkoa wa Dar es Salaam, wameyaomba makampuni ambazyo yanaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja kudumisha huduma bora hata baada ya wiki ya huduma ili kupunguza malalamiko kwa wahitaji huduma.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS