Mbappe nje wiki tatu Klabu ya Real Madrid imetangaza kuwa mshambuliaji wake nyota wa kimataifa wa Ufaransa, Kylian Mbappe amepata majeraha na atakuwa nje kwa muda wa wiki tatu. Read more about Mbappe nje wiki tatu