Afariki baada ya kupigwa na kuingizwa miti

Waombolezaji msibani

Mkazi wa Kijiji cha Mwihitiri wilayani Ikungi mkoani Singida, Frank Joseph (28) amefariki dunia baada ya kudaiwa kupigwa pamoja na kuingizwa miti sehemu ya haja kubwa na askari wa jeshi la akiba katika ofisi ya Mtendaji wa kijiji hicho ambako alikuwa ameshikiliwa na mtendaji wa kijiji

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS