Pengo la Rodri ni kubwa Man City Kocha wa Manchester City Pep Guardiola amesema ni ngumu kuziba nafasi ya kiungo wa timu hiyo Rodri aliyepata majeraha ya goti Jumapili iliyopita kwenye mchezo wa Ligi Kuu Uingereza EPL dhidi ya Arsenal. Read more about Pengo la Rodri ni kubwa Man City