Mgambo na mtendaji mbaroni mauaji ya Frank
Jeshi la Polisi mkoani Singida linawashikilia watuhumiwa wanne ambao ni askari mgambo watatu pamoja na mtendaji wa kijiji kwa tuhuma ya kuhusika na mauaji ya Frank Joseph Mnyalu miaka 28, ambaye imedaiwa kuwa alishambuliwa na watuhumiwa hao mpaka kupelekea kifo chake akiwa anapatiwa