TAKUKURU kuwachunguza waliokula hela za miradi
Waziri wa madini Anthony Mavunde ameiagiza mamlaka ya kupambana na Rushwa TAKUKURU wilaya ya Mbogwe kuharakisha uchunguzi wa viongozi wanaotuhumiwa kula fedha za ujenzi wa kituo cha afya Ushirika kilichopo wilayani Mbogwe jambo ambalo limesababisha ujenzi wa kituo hicho kusimama.