Rais Mstaafu Kabila ailaumu serikali ya DRC
Rais wa zamani wa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) Joseph Kabila Rais wa sasa wa taifa hilo Felix Tschisekedi kwa kuiingiza nchi katika machafuko na kutoa wito kwa Wakongo kuungana ili kurejesha sheria na utulivu nchini mwao.