Manchester United watatwaa Ubingwa wa UEFA 2022
Gwiji wa zamani wa Manchester United, Peter Schmeichel ameitabiria klabu yake ya zamani kuwa na uwezekano mkubwa wa kutwaa kombe la ligi ya mabingwa barani ulaya msimu huu licha ya kusuasua hivi karibuni.

