Sipingi chanjo ila sitachanja - Djokovic
Nyota wa tennis Mserbia Novak Djokovic amesema yupo tayari kukosa michuano mikubwa ijayo ya tennis(French open na Wimbledon open) lakini hayupo tayari kuchanjwa kama ilivyokuwa kwenye michuano ya wazi ya Australian 2022 yaliyomalizika mjini Melbourne mwezi January 31.

