Wafanyakazi 12 wa Azam TV wapata ajali Kitonga

Eneo la ajali mlima Kitonga

Wafanyakazi 12 wa Azam Media Limited (AML) wamepata ajali katika Mlima Kitonga, mkoani Iringa, baada ya gari lao kusukumwa na lori lililokuwa likirudi nyuma kwa dharura. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS