Chelsea imeshinda makombe yote chini ya Abramovich

Mmiliki wa Chelsea Roman Abramovich

Mabingwa wa ulaya Klabu ya Chelsea usiku wa jana ilishinda ubingwa wa klabu bingwa ya Dunia kwa kuifunga klabu ya Palmeiras ya Brazil magoli 2-1 kwenye fainali iliyopigwa kwa dakika 120.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS