Kamati moto Soko la Mbagala yapewa siku 3-4 Baadhi ya maeneo ya soko hilo wakati moto ukiwaka Kamati ya kuchunguza tukio la moto ulioteketeza Soko la Mbagala Rangi Tatu usiku wa kuamkia leo Februari 13, 2022 imepewa siku tatu hadi nne. Read more about Kamati moto Soko la Mbagala yapewa siku 3-4