Kapombe apewa tuzo ya mchezaji bora Februari

Shomari Kapombe akipokea mfano wa hundi ya fedha alizoshinda kama zawadi ya mchezaji bora wa mwezi Februari

Beki wa kulia wa klabu ya Simba SC Shomari Kapombe, amekabidhiwa tuzo yake ya mchezaji bora wa mwezi Februari wa mashabiki wa klabu hiyo (Fans Player of the Month), ameshinda kiasi cha shilingi milioni 2 .

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS