Lakers wapo hoi, Golden State Warriors wadema NBA!
Ligi ya kikapu chini Maremmani NBA imeendelea terna Alfajiri ya leo Februari 10, 2022 kwa michezo sita huku Los Angeles Lakers wakipokea kichapo cha sita kwenye michezo yake nane ya mwisho inhale Golden State Warriors imesimamishwa kushinda mchezo wake wa kumi mfululizo baada ya kufungwa.