Lukaku aipelekea Chelsea fainali kombe la Dunia
Mshambuliaji cha Chelsea, Romelu Lukaku amefanikiwa kufunga bao dakika ya 32 na kuifanya timu yake iibuke na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Al Hilal ya Saudi Arabia na kuisaidia timu yake kutinga fainali ya kombe la Dunia la Vilabu.