Ajinyongea Lodge na kuacha mtoto

Naomi ambaye ni mkazi wa Mji Mdogo Katoro, Geita, amejinyonga kwenye choo cha chumbani katika nyumba ya wageni inayofahamika kwa jina la Mwananzoka Lodge na kumuacha mtoto wake kwa mhudumu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS