Rais Samia kaniagiza na nimefanya mabadiliko- Nape

Waziri wa Habari, Nape Nnauye

Waziri wa Habari Nape Nnauye, amesema kuwa wamefanya mabadiliko na kwamba chaneli za bure kama ITV na East Africa TV zimeanza kuonekana tena kwenye king'amuzi cha DStv baada ya hapo awali kuondolewa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS