Usyk aacha pambano lake na Joshua, ashika bunduki

(Bondia Oleksandry Usyk wa katika akiwa ameshika silaha lindoni)

Bondia bingwa wa uzito wa juu Duniani Oleksandr Usyk amesema hajui ni lini atapanda ulingoni kutetea ubingwa wake wa uzito wa juu wa dunia dhidi ya Anthony Joshua katika pambano lao la marudiano lililopangwa kufanyika mwezi Aprili mwaka huu 2022.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS