Bocco: Hatuna presha (Nahodha wa Simba SC, John Rafael Bocco) Nahodha wa timu John Bocco, amesema hatuna presha ya kurejea kileleni mwa msimamo ingawa amekiri ligi ya msimu huu ni ngumu. Read more about Bocco: Hatuna presha