Dkt. Salim atimiza miaka 80, Rais Samia ampongeza

Dr. Salim Ahmed Salim

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepongeza Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania (1984-1985) Dr. Salim Ahmed Salim kwa kutimiza umri wa miaka 80 leo Januari 23, 2022.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS