Rangnick ataja sababu za kumfanyia 'SUB' Ronaldo
Kocha wa Manchester United Ralf Rangnick amemtetea Cristiano Ronaldo kwa kuonyesha hasira waziwazi baada ya kutolewa dakika ya 71 kwenye mchezo wa Ligi dhidi ya Brenford ambao timu hiyo imeshinda mabao 3-1. Amesema ni kawaida kwa mchezaji kufanya hivyo kama hajafunga goli.