Lewandowski, Tuchel bora Duniani tuzo za FIFA
Mshambuliaji wa klabu ya Bayern Munich, Robert Lewandowski ameshinda tuzo ya Mchezaji bora wa Dunia kwa upande wa tuzo za FIFA The Best mwaka 2021 na kuwapiku Mohammed Salah (Liverpool) na Cristiano Ronaldo (Man United).