Rais Samia ateua Naibu Kamishna Mkuu TRA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzani Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya teuzi mbalimbali leo Januari 18, 2022, ambapo amemteua Bw. Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).