Matokeo mabaya somo la Hisabati kidato cha 4 Dkt. Charles Msonde, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Takwimu za matokeo ya mtihani wa kidato cha nne zinaonesha kuwa watahiniwa wa kidato cha nne hawakufanya vizuri katika mtihani wa taifa kwa somo moja la Hesabu. Read more about Matokeo mabaya somo la Hisabati kidato cha 4