Waliopitishwa kugombea Shirikisho la Kikapu (TBF)
Kamati ya Uchaguzi ya Baraza la Michezo Tanzania 'BMT' chini ya Mwenyekiti wake Alex Allen leo jijini Dodoma, wamefanya usahili na kupitisha orodha ya wagombea wafuatao kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Nchini 'TBF' unaotaraji kufanyika Alhamisi Disemba 30, 2021.