Shilole aingilia ugomvi wa Shaa na Master J

Picha ya Shilole kushoto, kulia ni Master J na Shaa

Shishi Baby Shilole amefunguka kilichotokea mitandaoni baada ya Shaa kuweka wazi kinachoendelea kati yake na mzazi mwenziye Producer Master J kuhusu masuala ya mtoto.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS